Leo kwenye U heard ya Clouds fm Soudy Brown kaamua kuingizia utani kupitia moja ya mstari kwenye mdundo wa Nay wa Mitego ‘Shika adabu yako , eti Msanii Ray Kigosi katumia mkorogo wa mama yake alafu mama kaenda kusemelea kwa mshua kuhusu tabia ya mtoto wake.
Stori yote ipo kwenye hii sauti hapa chini
No comments:
Post a Comment