Pop Staa Justin Bieber anaonekana amekuwa zaidi kwenye picha za jarida la GQ.
Kupitia interview aliyofanyiwa Justin Bieber anasema “Wimbo wa
‘Sorry’ haukuwa ujumba wa kuomba msamaha dunia kwa mambo ya kitoto
anayofanya,wimbo hauna issue yoyote na kuomba msamaha, wimbo unahusu
mwanamke”
Justin Bieber “Watu wengi wamekuwa na kuanza kujutia mambo yao ya
zamani waliyofanya, sio mimi, ningepata nafasi ya kurudi nyuma nisinge
bailisha chochote, mambo hayo yamenifanya niwe nilivyo sasa”.
Justin Bieber pia amemuelezea mpenzi wake mpya Hailey Baldwin nakusema
“Someone I really love,” he says. “We spend a lot of time together”.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...
No comments:
Post a Comment