04 February, 2016

Jose Chameleone kanunua viatu pair mbili kwa thamani ya Tsh 20mliion?

Jose Chameleone ambaye ni miongoni mwa mastaa wa muziki Afrika Mashariki na Afrika wenye pesa nyingi zaidi amenunua pea mbili ya viatu aina ya Nike Air Mag venye thamani ya dola 9000 mpaka 12500 za Kimarekani ambazo ni zaidi ya milioni 20 za Tanzania.
chameleone 2
Picha hii iliambatana na ujumbe huu kuhusu viatu hivi.
Thanks DHL fast delivery!! . Back to the future #NIKEAIRMAG Limited Edition These God Damn Shows R Correct>>>>>> you can get one too from this Nike Store https://m.fancy.com/things/261000449/Nike-Air-Mag-Back-to-The-Future
cham 2

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...