25 January, 2016

Video ya Hello ya Adele yavunja rekodi kwa kutazamwa mara billion 1.


Video ya ‘Hello’ ya Adele imefikisha viewers billion 1 ndani ya siku 87.
 Mwanzoni rekodi hiyo ilikuwa inashikiliwa na Psy na wimbo wake wa ‘Gangnam style’
Hadi sasa kuna Video 17 tu ambazo zimetazamwa zaidi mara billion 1.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...