25 January, 2016

Idris athibitisha uhusiano wake na Wema Sepetu, asema ana ujauzito wake


Mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan amethibitisha kuwa na uhusiano na Wema Sepetu na zaidi mwanadada huyo tayari ana ujauzito wake.
temp_regrann_1453725984059
Kwenye Post aliyoweka Instagram Idris ameandika kuhusiana na taarifa hizo ambazo zilikuwa tetesi kwa muda mrefu,
“Me and You are not the ordinary. I sleep,eat, talk and wake up to only thinking about you,” ameandika Idris kwenye post yake iliyopata comments zaidi ya 9,060 na likes zaidi ya 18,989.
“As much as utadhani kuwa you are blessed to have me no no I am blessed to have you. At 1st it was weird me kuangalia ndani ya kabati langu kuona nguo zako na viatu au ukiwa unaongea na mimi unaniambia vitu kama “Hivi baby unahisi akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike” au ukiingia jikoni kwangu and take over my house with good food,” ameongeza.
“The way you look at other women wakinisogelea, how you always know when i need a kiss or a tight hug. The way you force me kuangalia Disney channel, how you wake up early these days to make me breakfast. I might bring you the most beautiful rose flower in the world and it will never look even half as beautiful as you are. When you’re jealous unasonya sonya, when am jealous i smile.”
“I would move mountains and planets just to make you happy. I will protect you, love you, spoil you, fight with you, cook with you, watch movies together, drive at night for no reason, sit with you and just stare at the stars. You’re more than i ever asked for, you’re my everything “My Wife.”

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...