Rapa T.I amempoteza babu yake ambaye alimuona kama baba yake mlezi. Bwana Robert Morgan amezikwa Jan 5 2016.
Robert Morgan alifariki January 1 2016 na T.I aliandika RIPDADDY.
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
No comments:
Post a Comment