Kama ilivyo hapa Tanzania kuna mashindano ya vipaji vya kuimba hata Marekani pia na shindano kubwa ni shindano ya America Idol.
Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii watano waliowahi kushinda mashindano ya American Idols waliotengeneza pesa nyingi zaidi mwaka 2015.
Here is the list in full:
1) Adam Lambert ($10 million)
2) Carrie Underwood ($8 million)
3) Daughtry ($6 million)
4) Phillip Phillips ($5 million)
5) Scotty McCreery ($4 million) tied with Kelly Clarkson ($4 million)
No comments:
Post a Comment