26 January, 2016
Ni miaka minne tangu nyota wa muziki Rihhana atangaze kwamba anaanda albamu yake mpya.
Hatahivyo harakati hizo zilikabiliwa na changomoto chungu nzima na kulazimika kuchelewesha utayarishaji wake.
Lakini hatimaye ndoto yake imefaulu na sasa albamu hiyo ya nane kwa jina ANTI imekamilika.
Nyota huyo alifanya tangazo hilo akiwa amevaa taji la dhahabu la malkia pamoja na vipaza sauti vya masikioni vya Dolce na GabbanaWakati huohuo albamu mpya ya nyota Kanye West 'SWISH' ilitarajiwa kuwa tayari kwa onyesho lake la Glastonbury wakati wa msimu wa joto uliopita.
Hatahivyo mpango huo haukufaulu huku nyota huyo wa muziki wa rap akiambia Vanity Fair kwamba alikuwa anaichelewesha kwa makusudi.
Lakini usiku wa jana alitangaza kwamba albamu hiyo iko tayari.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...
No comments:
Post a Comment