Balmain chini ya designer wake Olivier
Rousteing ambaye amekuwa akipendwa sana kwa sasa na designs zake
zikiwavutia watu wengi sana ,na kwa mwaka jana amekuwa more successful
na kujulikana zaidi ulimwenguni kote na pia kupata deals mbalimbali.
hii ni collection yake ya Mens wear pre fall.
anapenda sana velevet na vifungo vikubwa vya goldish
Black,red,green ni colors zilotawala kwenye collection hii
kwenye hii collection kulikuwa na pieces chache za wanawake
No comments:
Post a Comment