19 January, 2016

New Music: Kanye West Feat. Kendrick Lamar – No More Parties in LA

Kanye west ameachia wimbo wa tatu kutoka kwenye Album yake mpya ‘Swish’, Amemshrikisha Kendrick Lamar na unaitwa ‘No More Parties in LA’
No More Parties in LAPlay ngoma hiyo hapo chini kuiskiliza

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...