So kwa wale Team Fitness mnajua hizi
Fitness trackers wengi wanavaa kuhesabu wametembea step ngapi,colories
wame burn ngapi na mara nyingi huwa hizi Trackers arent cute bwana but
these ones ziko kama bangili flani hivi amazing.Mtu wala hawezi kujua
umevaa tracker maana zingine huwezi vaa ukaenda kazini unaonekana kama
unaenda gym hapana .
The bangles zinakuja na styles tatu The
Duchess,Calder na Kingston na zina track steps,distance traveled and
colories burned na uzuri zaidi zinatuma notifications kwenye smartphone
ya mtumiaji.
Huwa unavaa Fitness Tracker????yako inaitwaje???tujuze kizuri kula na wenzio
No comments:
Post a Comment