05 January, 2016

Msanii wa filamu Tanzania ametoa maelezo kuhusu issue kati yake na msanii wa Nigeria, hitmaker wa Duro ‘Tekno Miles’.

luluLulu amekanusha kufanya nguno na Tekno kwa mujibu wa maelezo yake.
Okay…naona watu Mnatafutaga Topic Na mkipata picha story mnatungaga mnazozijua NI hivi….naomba heshima Na busara vitumike
Nilikutana Na Tekno Kwenye show yake Na alikuja kunisalimia kwenye meza Yangu,picha zote zilizopigwa Na yeye au mtu mwingine yoyote zilipigwa kwenye meza yangu by the time amekuja kunisalimia,Na sio mm tu niliyepiga nae picha NI watu wengi…kuhusu issue yake Na whoever called Gigy me cjui Coz hata sikuwepo wakati wanapigana picha zao…Kwahyo mni exclude kwenye hyo issue Yao
Nilikuwa najua akili Za watu wengi NDO maana hata sikuthubutu kupost picha yangu Na Tekno B4 this issue
Mnachotakiwa kujua….nilienda kwenye show as a fan n nothing elseNa NDO maana hata Post alopost Na mm ka post Kwa heshma Na Taadhima
Hakuna Mahusiano Mengine zaidi ya Hapo hata Tekno anajua….au Kama kuna mtu ana picha yangu Na Tekno yenye Utata nje ya eneo la show yake Anisaidie hapa sshv..!
Hebu jaribuni Kuwa mnaongelea vitu mnavyovijua Kwa kina Na sio kunganisha unganisha tu..!
Sijaeleza maelezo mengi kwaajili ya KIMA yoyote alosema/kusambaza habari uongo…nijieleza ili wale wachache wenye akili zao wasiendelee kupotoshwa….
Gotta Sleep wth Bae now…🚶🚶🚶
#InstagrambilaLuluInawezekana😂

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...