08 January, 2016

Mrembo wa Kenya, Vera Sidika adaiwa kula uroda na Rapper wa Marekani Fetty Wap


Mrembo wa Kenya, Vera Sidika anaweza kuwa amekula uroda na muimbaji wa ‘Trap queen’ Fetty wap.
Mrembo huyo mwenye umbo la utata ambaye kwasasa yupo Las Vegas, Marekani kwa ajili ya Vacation kuna uwezekano mkubwa wa kuwa Fetty wap ambaye alikuwepo Las Vegas pia hakumuacha hivihivi,
Picha inaanza hivi, siku mbili zilizopita Vera aliweka picha kwenye Instagram na mmoja ya watu wa Management ya Fetty wap, RGF productions alicomment kwenye picha hiyo “where we at tonight”
 
 
Siku iliyofuata Vera aliweka picha amevaa kofia sawa na ambayo Fetty wap alikua amevaa kwenye picha nyingine aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram.


Kwenye picha ya nyingine, Vera sindika alipiga selfie huku akificha baadhi ya vitu nyuma, Itakuwa ni nini ambacho hataki watu waone?
vera2

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...