21 January, 2016

LIVERPOOL YASHINDA 3-0 NA KUFUZU RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA ENGLAND

Mshambuliaji wa Liverpool, Christian Benteke akipiga kichwa kilichoenda juu ya lango la Exeter City katika mchezo wa marudiano wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England. Liverpool ilishina 3-0 usiku wa jana Uwanja wa Anfield, mabao ya Joe Allen, Sheyi Ojo na Joao Teixeira na kufuzu Raundi ya Nne, ambako itakutana na West Ham United

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...