13 January, 2016

Lady Gaga atangaza kutoa album mpya mwaka 2016.

gaga
Mwimbaji wa pop Lady Gaga ametangaza rasmi kuwa atatoa album mpya mwaka huu. Gaga amekaa bila album toka mwaka 2013.
Gaga amesema hivyo kwenye tuzo za Golden Globe mjini Los Angeles ambapo alionekana na mchumba wake Taylor Kinney.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...