Kilabu ya Ujerumani Borussia
Dortmund imemaliza uvumi kwamba mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick
Aubemeyang huenda akaihama kilabu hiyo katika dirisha la uhamisho mwezi
huu.
Dortmund imesema kuwa itawashikilia wachezaji wake wote hadi
mwisho wa msimu akiwemo nyota wake Aubemayang ambaye alishinda taji la
mchezaji bora wa soka barani Afrika mwaka 2015.Arsenal inadaiwa kuwa miongoni mwa timu zinazomwinda mshambuliaji huyo .
No comments:
Post a Comment