Kiungo
wa Gabon, Rodrigue Moundougua (kulia) akijaribu kumpita beki wa
Morocco, Abdessalam Benjelloun katika mchezo wa Kundi A Michuano ya
Ubingwa wa Mataifa wa Afrika (CHAN) Uwanja wa Amahoro, Kigali, Rwanda
usiku wa leo. Timu hizo zimetoka 0-0.Rwanda iliyoshinda mchezo wa kwanza jioni 1-0 dhidi ya Ivory Coast sasa inaongoza Kundi A.
No comments:
Post a Comment