Nyota wa R&B wa Marekani Chris Brown ameingia tena matatizoni baada ya Jana jumamosi akiwa katika klabu ya The Palms Casino Resort staa huyo anadaiwa kumpiga usoni mama mmoja Liziane Gutierrez ambaye alikua akijaribu kumpiga picha.
Polisi katika jiji la Las Vegas, Marekani bado wanaendelea na uchunguzi kuhusiana na malalamiko ya mama huyo
Mwaka 2009, Brown aliagizwa kukaa miaka mitano bila kufanya kosa
baada ya kupatikana na hatia ya kumpiga nyota wa muziki wa pop Rihanna.
No comments:
Post a Comment