Pamoja na kuachia project yake ya “Dark Sky Paradise" mwanzoni mwa mwaka 2015, Raper huyo amekua na Mafanikio makubwa sana. Akisherekea mwaka 2016, rapper huyo ameweka video inayo onyesha mishe zake zote ikiwemo ile ambayo alikua studio akitengeneza “Dark Sky Paradise" na mwishoni mwa video hiyo ameonyesha wimbo wa “What A Year”alio mshirikisha Pharrell na DetailITAZAME VIDEO HIYO HAPA
No comments:
Post a Comment