Teknolojia kubwa kuliko ya Apple
imetaarifiwa kushuka katika mauzo ya simu zake zijulikanazo kama
"iphone"katika kipindi cha mauzo yake ya mwisho baada ya kiwango cha
uchumi wa China kushuka.
Apple ilifanikiwa kuuza simu za iphone
zipatazo milioni sabini na tano katika miezi mitatu ya mwisho ya mwaka
2015 ,na mauzo yamekuwa yakipanda kwa kiwango kidogo tangu uzinduzi wa
simu hizo mwaka 2007.Faida ambazo zimepatikana katika robo ya bidhaa hizo ni zaidi ya dola bilioni kumi na nane.
No comments:
Post a Comment