Vanessa
Mdee amekuwa na mwaka wenye mafanikio makubwa kimataifa. Ndio muimbaji
wa kike aliye busy zaidi na show si ndani tu ya Tanzania, bali Afrika
nzima. MTV Base wametoa orodha ya wasanii watano walio juu Afrika kwa
sasa na hitmaker huyo wa Never Ever akishika nafasi ya pili.- Yemi Alade (Nigeria)
- Vanessa Mdee (Tanzania)
- Seyo Shay (Nigeria)
- Cynthia Morgan (Nigeria)
- Bucie (Afrika Kusini)
No comments:
Post a Comment