Mtandao wa Hits Daily Double umedai sababu kubwa ya wimbo huo kutoingia kwenye Tuzo hizo ni kwasababu label inayosimamia kazi za Drake, Cash Money Records ilichelewa kutuma wimbo huo kwa ajili ya mchakato wa nomination.
Hata hivyo Drake ameingia kwenye vipengele 5
No comments:
Post a Comment