04 December, 2015

LA LIGA KUTANGAZWA KWA KUTUMIA LUGHA YA KISWAHILI

la ligaDstv Tanzania inaendelea kuleta huduma mpya kwa wateja wake kama ilivyo kawaida yake. Hivi sasa wameanzisha huduma mpya ambapo mechi za La Liga zitaonyeshwa Live na watangazaji watakua wanatangaza kwa kutumia lugha ya kiswahili.
Kama lugha ilikua tatizo wakati una enjoy mechi basi usiwe na wasiwasi tena kwasababu Dstv wameshamaliza hilo swala. Lugha ya taifa sasa itatumika kutangaza mechi za La Liga.
Hizi hapa ni baadhi ya mechi ambazo zitaanza kutangazwa kwa lugha ya kiswahili kuanzia kesho Jumamosi tarehe 5/12/2015
Saturday 05/11
Real Madrid vs Getafe
Ch – SS7
On Air – 16:55
Kick off – 17:00 sast
Valencia vs Barcelona
Channels – SS5A
On air time – 21:15 sast
Kick off – 21:30 sast
Sunday 06/11
Villareal vs Rayo Valleccano
Channels – SS5A
On air time – 16:55 sast
Kick off – 17:00 sast

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...