Rapa Kanye West na mke wake Kim K wametoa jina la mtoto wao wa kiume siku mbili baada ya kuzaliwa kwake.
Mtoto Huyu ameitwa SAINT WEST na taarifa hizi zimetolewa nA Kim Kardashian kwa kuandika ” To our fans Saint West. 12.05.15. 8 Pounds, 1 ounce”. Huyu ni mtoto wa pili kwenye ndoa ya Kanye na Kim K,mtoto wao wa kwanza anaitwa North West na anamiaka miwili na nusu.
Kwenye instagram yake aliweka hii picha.
No comments:
Post a Comment