Kanye West anasema ” mimi najiskia sana, hilo ndio tatizo, nikiweza na kuacha kujiskia nadhani watu watapata nafasi ya kufanya kazi na mimi “.
Kanye West pia anasema mafanikio ya Drake yamefanya abadilishe mfumo wake wa kufikiria na kufanya vitu.
Kanye anasema ” kuona mafanikio na mabadiliko ya kazi za Drake kumenifanya nibadilisha ufanisi wangu wa kazi na ninavyo fikiria mambo, Drake ameweza kubadilika na kuwa tofauti na kila mtu kwa muda mfupi, amenishawishi sana “.
No comments:
Post a Comment