Kwa mujibu wa Boss wa HKN, Davido amesema ‘Nimekua nikiwaona kwenye TV lakini sasa tunachangia bill moja club’. Trey songz ni moja ya wasanii wa kimataifa walioshirikishwa kwenye Album mpya ya Davido, ameshirikishwa kwenye wimbo unaoitwa ‘Wetin you Say‘.
Pia Davido alikutana na Mwanasheria namba moja kwenye Entertainment kwa mujibu wa Billboard, Joel Katz kwahiyo tunaweza tegemea chochote kati ya hawa watu wawili, Joel Katz pia huwa anaitwa ‘the deal maker who thinks outside the box’
No comments:
Post a Comment