Rapper, Producer, Muigizaji na mjasiliamali Sean Combs amejiunga na kituo cha runinga cha ABC kuandaa kipindi cha vichekesho kitakachohusu maisha ya kweli ya aliyekua msaidizi wake Sarah Snedeker.
Kipindi icho cha Vichekesho ambacho kitarekodiwa na kamera moja tu tayari kimeandikiwa Script kitaonesha maisha ya binti aliyetoka kwenye maisha duni lakini anapata bahati ya kuwa msaidizi wa Billionaire mkubwa lakini anajikuta akiangukia kwenye maisha machafu ya ubadhirifu na ufisadi na vitu vingi vinavyomsahaulisha alipotoka.
No comments:
Post a Comment