04 August, 2015

TETESI: MTOTO WA DAVID BECKAM KUFUATA NYAYO ZA BABA YAKE

Kwa taarifa za chini chini zinazo muhusu mtoto wa mcheza soka David Beckham maarufu kwa jina la Brooklyn Beckham ambaye anatabiliwa kujakuwa nyota mkubwa nchini Marekani hususani katika fani ya uigizaji.  Inasemekana kuwa tayari amekubali kusaini mkataba na Modelling Agency.Romeo-Beckham
Ikiwa kama tetesi hizo zitakuwa ni zauhakika basi kijana huyo mwenye umri wa miaka 16 atakuwa ameanza kufuata nyayo za Baba yake David ambaye alianzia kwenye Tasnia ya Fashion kwa kufanya Campaigns nyingi kama H & M, Armani & Breitling.
Brooklyn_590_590_90

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...