Sarafu ya Afrika Kusini ,Rand,
imeporomoka hadi kiwango cha chini zaidi ikilinganishwa na ile ya dola
na hivyobasi kusababisha hasara kubwa katika miezi 19 huku kukiwa na
wasiwasi kuhusu ukuwaji mdogo wa uchumi wa China.
Sarafu hiyo ilishuka na kubadilishana kwa 14 dhidi ya dola .Ni sarafu ambayo imeathiriwa vibaya zaidi miongoni mwa masoko 25 yanayoinuka baada ya wawekezaji kuuza mali zao zilizo hatarini zaidi kutokana na wasiwasi wa ukuwaji wa uchumi wa taifa la uchina ambao ni wapili kwa ukubwa duniani.
No comments:
Post a Comment