12 August, 2015

NEW: LIL KESH FT. VIKTOH – EFEJOKU (OFFICIAL VIDEO)

Msanii wa muziki nchini Nigeria ambaye anajiita Shoki Master maarufu kwa jina la Lil Kesh’s, ameachia video ya wimbo wake mpya ambao unaitwa ‘Efejoku’ amemshirikisha msanii ‘ mwingine ambaye jina lake ni ‘Viktoh’. Video directed by Unlimited L.A. Hivyo chukua time hii kuitazama video hapa ukimaliza tunakuomba usibanduke kwenye tovuti hii kwani bado tunaendelea kukujuza zaidi.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...