12 August, 2015

Baada ya Joh Makini na Diamond Platnumz kutamba kwenye chart za mtv sasa ni zamu ya Sauti Soul

Muziki wa East Africa unazidi kukuwa kila siku na kusambaa  kwenye chart za kimataifa na kujulikana nje zaidi tofauti na zamani.Tuliona Diamond Platnumz kuanza kushika chart za Africa na baadae ni Joh Makini mpaka kukamata nafasi ya kwanza.Saivi kwenye chart za MTV base Africa Sauti Soul wameshika nafasi ya kwanza katika chart hizo na wimbo wao wa “Nerea”,kitu ambacho kinaonyesha juhudi zaidi zilizofanyika.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...