11 August, 2015

Msanii wa P.diddy aonekana akinywa kinywaji cha mpinzani wake, 50 Cent.

Msanii ambaye yupo chini ya Label ya “Bad Boyz”, ameonekana kwenye Party ya 50 cent “Pool After Dark party” akinywa kinywaji cha mpinzani wa Boss wake “Effen vodka” japo  wasanii ambao wapo chini ya Label ya P.diddy hawaruhusiwi kupromote kinywaji kingine tofauti na ‘Ciroc Vodka’
P.diddy na 50 cent ni washindani wakubwa na mara chache wamekuwa wakipishana kauli. Mapema mwaka huu P.diddy alimpa offer 50 cent ya kupokea vinywaji vya ‘ciroc vodka’ bure kwa muda wa maisha yake yote, Japo 50 aliitupilia mbali offer hiyo na kuendelea kupromote vinywaji vyake.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...