11 August, 2015

King Mswati wa Swazland achagua mke mwingine

Kama ilivyo zoeleka kwa King Mswati wa Swazland kuwa na kawaida ya kuchagua mke kila wakati unapo fika na hii imekuja kama kawaida kwa King huyo.Na imekuwa muda kidogo tangu achaguwe mke Bikira kama ilivyo zoeleka lakini pia King Mswati huyo amefanya hayo kama kawaida yake

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...