Wachezaji mpira ni miongoni mwa watu
maarufu sana kutokana na kazi yao kupendwa au kuwa na mashabiki wengi
kutoka sehemu mbalimbali, miongoni mwa vitu ambavyo huwezi kuvidhania
kama unaweza kuviona kwa mastaa wako wa soka ambao umezoea kuwaona
wakiwa katika muonekano uliozoeleka kuonekana labda wakiwa katika mechi
au matukio ya kawaida.
Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na hii list ya mastaa wa soka waivyoamua kujiachia kwa vioja kabisa.
Dani Alves
Dani Alves aliwahi kuvaa wigi wakati akisherehekea ushindi wa Timu yake ya Taifa
Andrey Arshavin
Ni
mchezaji wa zamani wa Arsenal anatajwa kuwa sio miongoni mwa watu
wanaouchukulia mchezo wa mpira wa miguu serious.. Ndani ya Uwanja akaona
afanye kioja kupindisha uso wake.
Mario Balotelli
Chochote anachokifanya Balotelli huwa hakiko mbali na headlines za Waandishi wa Habari.
Antonio Cassano
Antonio Cassano akishangilia ushindi wa goli 2-0 Italy ilivyoifunga Ufaransa katika michuano ya Euro 2008.
Zlatan Ibrahimovic
Zlatan Ibrahimovic wakati alipovua nguo Uwanjani bila hofu kabisa.
Stephen Ireland
Kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester City Stephen akishangilia goli kwa staili ya kuvua bukta
David Luiz
David Luiz beki ghali wa klabu ya PSG ya Ufaransa akishangilia goli
No comments:
Post a Comment