14 August, 2015
MALALAMIKO YA BONDIA FRASINCIS MIYEYUSHO YAKO HAPA
Ni kutoka wa mpiganaji wa mchezo wa masumbwi hapa Tanzania maarufu kwa jina la Francis Miyeyusho mara baada ya kukaa muda mrefu bila ya kupata pambano linaloweza kumuingizia mtonyo.
Though kwamba Francis bado anaendela kujinoa, kwa ajili ya pambano lolote ambalo linaweza likajitokeza mbele yake, lakini amepiga story na mwandishi wetu na kuamua kutoa la moyoni mwake kuwa;
“Kwa kipindi hiki sina mchongo wowote, najifua tu ki-design ili any time nikipata pambano isiwe shida kwangu, sema kinacho angamiza Tasnia yetu ya mchezo huu wa masumbwi ni uhaba wa promoters pamoja na Sponsers, coz wanashindwa kutuandalia mapambano ya mara kwa mara yanayoweza kukuza hii Tasnia hicho ndio kinanifanya mimi kuwalalamika”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...
No comments:
Post a Comment