Bondia wa kimataifa Floyd Mayweather haishiwi Headlines, mara nyingi Stori zake nyingi zinahusiana na utajiri alionao.
Niliwahi kuandika Stori kuhusu Floyd Mayweather kutojua kiasi cha pesa zake zilizopo benki kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha fedha nyumbani kwake.
Hii nyingine ya leo ni kuhusiana na gari la kifahari alilonunua bondia huyo aina ya Koenigsegg CCXR Trevita lenye thamani ya dola milioni 4.8.
Aina hii ya gari yapo mawili tu duniani kote mpaka sasa.
Hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram
No comments:
Post a Comment