Msanii mwenye a.k.a ndefu kuliko wote Tanzania, Hemedy PHD anatarajia
kuwaweka hadharani kwa kuwataja majina warembo wote aliowahi kudate nao.
Hemedy ambaye ameachia video mpya “Imebaki Story” wiki iliyopita,
amesema kuwa tayari ana video nyingine kibindoni, ya wimbo uitwao “Pappy
Why Are You So Fly”.
“Nyingine inakuja Sepetember 30 kuna video yangu mpya inakuja nimesha
shoot iko kapuni, inaitwa “Pappy Why Are You So Fly”. Alisema Hemedy
kupitia 255 ya XXL ya Clouds Fm.
Ameongeza kuwa katika wimbo huo ameimba kuhusu wasichana aliowahi kuwa
nao kimapenzi, na amewataja kwa majina kuanzia mwanzo hadi mwisho wa
wimbo huo wenye karibia dakika nne.
“Humo ndani nimejaribu kumention mademu zangu wooote mbao nimeshawahi
kuwa nao mpaka kufika hapa kwahiyo ni bonge moja la hit. Siku hizi
unajua nimetulia nina mwanamke mmoja kwahiyo nikianza kuji proud
kuwataja itaniletea kidogo tatizo, but all in all wote nimewataja.
Jiulize nyimbo ina dakika 3 na sekunde 50 nataja majina tu jiulize je
mangapi?”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...

-
Mshambuliaji huyo wa umri wa miaka 26 ambaye amekuwa akichezea klabu ya Corinthians ya Ugiriki amechezea taifa lake mechi 27 na kuwafungi...
-
Brit Awads 2016 zimefanyika huko London ambapo mwanamuziki Adele ameondoka na tuzo nyingi zaidi katika nomination alizo kuwepo. Hizi hapa...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...
No comments:
Post a Comment