03 August, 2015

Diamond Platnumz ameshinda tuzo zingine mbili.

diamond platnumz 12
Msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz ameshinda tuzo zingine kubwa Afrika, kupitia kurasa yake ya instagram ametufahamisha kuhusu ushindi huu na tuzo.
  Thanks alot to my all Fans around the World, for your unconditional love and Support that you been Giving me… i can’t even explain how grateful i am… two awards on NollyWood & African People Choice Awards @Africannafca
FAVOURITE SONG OF THE YEAR (Nana)
FAVOURITE ARTIST OF THE YEAR
thanks alot @Africannafca 🙏
(Naomba nitumie Muda huu kuwashkuru Mashabiki zangu wote kwa Mapenzi na Sapoti yenu ya Dhati mnayoendelea kunipa…ningependa niwataarifu kuwa kijana wenu mmeniwezesha kushinda tunzo mbili ambazo ni MSANII ANAEPENDWA AFRICA na NYIMBO INAYOPENDWA AFRICA (#NaNa ) kwenye Tunzo za NollyWood & African people Choice Awards @Africannafca zitazotolewa tareh 12 /09 /2015 🙏
” Hongera Diamond Platnumz.
winners
winner 2

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...