21 July, 2015

Wasafi Records ya Diamond Platnumz kuanza kurekodi nyimbo bure kusaidia chipukizi..

Diamond Pltnumz ni mmoja ya wasanii wa Tanzania ambao wana mafaniko ya kutosha, Diamond Platnumz kaamua kushare mafanikio yake kwa kufungua studio ya muziki na kurekodi nyimbo bure kabisa kwa wasanii chipukizi wasiokuwa na uwezo.Diamond-1Kupitia kipindi cha Jump Off cha Timez fm Diamond Platnumz amesema Wasafi Records’ sio nimelenga biashara itakuwa uongo,Lakini hiyo studio nilivyokuwa nimeiweka nimesema arekodiwe msanii yeyote mwenye kipaji, akiwa mtu ana kipaji kizuri ana nyimbo nzuri mrekodie mpe. Lakini pia iko na kibiashara kwa wasanii wengine sio msanii ameshatoka aje pale aimbe bure,kuna wasanii ambao watakuwa chini ya management yangu chini ya kampuni yangu mfano huyu anaitwa Hamonizer”.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...