30 July, 2015

Tiwa Savage azawadiwa Microphone ya thahabu na almasi

Mbunifu wa mapambo Nigeria Micheal Awujola Aka Malivelihood amemzawadia Tiwa Savage Microphone iliyopambwa na thahabu na almasi ikiwa na jina la TIWA.
Hii ni zawadi ya Tiwa kwa kujifungua hivi karibuni na alifahamisha mashabiki wake kwa kuandika “Malivelihood Custom made Gold Sennheiser Microphone with Diamond Sleeve for the Mavin First Lady. Congratulations on the new born #Gold #Diamond #malivelihood.”
Wasani wengi waliowahi kupewa zawadi na mbunifu huyu ni Annie Idibia, Wizkid na Rahama Babangida .Tiwa-Savage1

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...