Mahali pekee utakapopata habari za Burudani,Michezo,Urembo udaku na Kuelimika
30 July, 2015
Mshindi wa airtel trace “Mayunga” kwa mara kwanza video yake kutambulishwa Trace
Aliekua mshindi wa aitel Trace mwaka 2015 Mayunga kutoka Tanzania
ameanza vizuri kwani siku ya ijumaa kituo kikubwa cha kimataifa “Trace”
itazindua video yake aliyo ishoot South Africa.
No comments:
Post a Comment