30 July, 2015

New Video: Hemedy PHD – Imebaki Story

papiiiMoja kati ya video ambazo Hemedy PHD ukimuuliza alizo ingia gharama zaidi ni hii hapa.Cha kwanza video imefanyika mikoa mitatu na maeneo tofauti pia hata vifaa ni vingi zaidi tofauti na video za mwanzo.Video imeongozwa na Msafiri Musaa wa Kwetu studio ITAZAME HAPA

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...