Kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika, Robin van Persie anajiandaa kufanya vipimo vya afya leo katika klabu ya Fenerbahce.
Van Persie anatimka Manchester United majira haya ya kiangazi na kwenda kujiunga na miamba hiyo ya Uturuki.
Mshambuliaji huyo wa Uholanzi anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka minne na atapima afya leo mjini London.
No comments:
Post a Comment