Msanii kutoka kwenye lebo ya Effyzzie Music, Yemi Alade amedondosha video ya pili ya wimbo wa Pose ndani ameshirikishwa Mugeez msanii kutoka Nigeria. Producer aliesimamia video hii anaitwa Paul Gambit. Hii ni version ya pili ya wimbo huu na kama wewe ni mpenzi wa kujifunza zile steps za kucheza ngoma za Kinigeria, Yemi Alade amekuraisishia kazi ndani ya hii video.
TOA MAONI YAKO
No comments:
Post a Comment