
04 July, 2015
Hizi ndizo video 10 za Nigeria zinazo ongoza kutizamwa YouTube
Asilimia kubwa ya watu wanao taka kutizama video kwenye mitandao basi mtandao wa kwanza kuujua ni YouTube japokuwa ipo mitandao mingine inayo jihusisha na kuweka video kwenye mtandao.
Hizi ndizo video 10 kutoka kwa wasanii wa Nigeria ambazo zimeonekana kuwa zinapendwa kutizama kila mara kwenye mtandao wa YouTube bila kujali lini video hiyo iliwekwa. Ikiwa wasanii wa Nigeria wanafanya vizuri hivi vipi hapa kwentu Tanzania.!

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
chukua time yako kuudowload wimbo huu wa Sunday Mjeda a.k. linex ngoma inakwenda kwa jina la KWA HELA
-
Mpenzi msomaji wa safu hii ni siku nyingine tunakutana katika kujuzana,kukumbushana, na kuelimishana mila na desturi za makabila mbalimbal...
-
This is a song sang by a very gifted woman Adele, I sang it to show world that everyone appreciate and love to enjoy good music! Asa...
No comments:
Post a Comment