27 July, 2015

HATIMAYE…HII NDIO CLUB ALISAINI DIDIER DROGBA

dreBaada tetesi nyingi kuhusu wapi ataenda legend wa Chelsea hatimaye tetesi hizo zimeisha.Mchezaji huyo mwenye miaka 37 amesaini mkataba wa miezi 18 ambao una thamani ya $3 million kwa mwaka.Club mpya ya Didier Drogba ni Montreal Impact ambayo inashiriki ligi ya Marekani.
do

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...