Rapper Dej Loaf ni
staa wa Hip Hop wa Marekani anaeyekua kwa kasi sana, alianza kufanya
muziki rasmi mwaka 2011 na mwaka 2012 alidondosha single yake ya kwanza
iitwayo Just Do It. Mwaka 2014 mwezi Oktoba mwanadada huyu aliachia single yake ya pili, Sell Sole
.
.
Mwaka 2014 Dej Loaf alipata umaarufu mkubwa na single yake ya Try Me na leo amerudi kuziandika headlines za ubaoni na single yake mpya ya Back Up aliomshirikisha rapper maarufu wa Marekani, Big Sean.
Nimekusogezea single hiyo hapa chini, bonyeza play kuisikiliza.
Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,
No comments:
Post a Comment