Mahali pekee utakapopata habari za Burudani,Michezo,Urembo udaku na Kuelimika
03 July, 2015
Video: KCEE Ft Diamond Platnumz - 'Love Boat'
Msanii Diamond ameendelea kupata mialiko ya kufanya nyimbo na wasanii
mbalimbali kutokea kila pembe barani Afrika. Hii hapa ni video mpya
iliyotoka muda mchache tu uliopita ambapo msanii KCEE amemshirikisha
Diamond katika wimbo unaoitwa LOVE BOAT. Hebu tazama Video hii hapa
uangalie Diamond alivyofanya vizuri humo. Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,
No comments:
Post a Comment