26 July, 2015

D’Banj na Ice Prince kwenye hii ‘Salute’…(Video)

icee
Wakali wa Nigeria kwenye Industry ya burudani D’Banj na Ice Prince wamerudi tena kwenye headlines..
Baada ya kutoa audio ya single yao mpya ya ‘Salute’ sasa wamerudi tena na kuachia video ya wimbo wao huo chini ya D’Banj records 2015 mtayarishaji akiwa Mr Moe Musa.
Itazame hapa mtu wangu….

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...