28 July, 2015

Picha: Khole Kardashian kwenye Cover la jarida la “Complex” amzungumzia French Montana pia uhusiano wa Kylie na Tyga

Khole kardashian kutoka kwenye familia yenye vituko zaidi “The Kardashian’s” amepozi kwenye Cover la jarida la ‘Complex’ na amezungumzia mengi ikiwa ni pamoja na uhusiano wa mdogo wake Kylie na Tyga na Ex-boyfriend wake French Montanakhloe-kardashian-can-still-be-sexy-complex-magazine-ftr
khloe-kardashian-complex-7khloe-kardashian-complex-4khloe-kardashian-complex-3khloe-kardashian-complex-2khloe-kardashian-complex-1
Kuhusiana na uhusiano wa mdogo wake Kylie na Tyga Khole amefunguka kuwa yeye alianza mahusiano akiwa na umri wa miaka 16 kwahiyo haoni kama kuna tatizo lolote ukizingatia kylie tayari anafanya mambo makubwa ya maendeleo ambayo hata watu wenye umri wa miaka 30 hawafanyi, amesema  “I think at 16 I was probably fucking someone that was in their 20s, for sure. I wouldn’t say I was even dating, probably just sleeping with them. But again Kylie is not a normal 17-year-old.”
Kuhusiana na Ex-boyfriend wake French Montana, Khole amefunguka kuwa kwasasa wao ni marafiki tu na wala aamini kama wanaweza kurudiana labda kwa usiku mmoja au miwili “When you fuck someone, why would you not…. Like, if someone has seen my vagina, I think it’s OK that I say hi and give him a hug hello

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...